Afande Sele afanya Bonge la party la kumpongeza 20%

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Mfalme wa Rhymes 2004, Suleiman Msindi ‘Afande Sele’ amemwangushia bonge la pati, mshindi wa tuzo tano za za Grammy aaah sorry za Kili Music 2010/11, Abbas Hamis Kinzasa ‘20%’ au ‘Kombinenga’ (pichani) kwa lengo la kuupongeza ushindi wake huko Morogoro. Aisee inaonyesha Afande kachoka kimtindo lakini bado mbishi... Check mafoto ya pati yeneywe...


combinenga4.JPG
combinenga.JPG
 
afande kachoka ni kweli ila 20% yuko juu sana
alistahili kabisa ule ushindi,
 
duh hali mbaya sana yan bangi inaharbu sura ngozi na mvuto kushneh kabisa...kashinda ila sasa hyo raha ya ushindi ipo wapi kama mtu anakuwa kama mfu yan dead walking body....i feel sorry kwa afande mfalme wa rhymes aliepoteza dira na compass ndo hatoipata tena pole sana blaza.
 
Kwa kweli mie niwe mkweli tu BAngi ni mbaya sana huyu jamaa 20% kashunda tunzo 5 za TKMA 2011 lakini I am sure he will be no where than where Afande Sele is, picha zinajieleza..
uliweka picha zao hapa ili uzikashifu? kama kweli una msaada kwao unapaswa uwaelimishe, na sio kutoa unabii wa mwisho wa 20% utakavyokuwa
 
wabongo bwana!ukiwa na swagga flani unaitwa sharobaro,ukiwa kawaida wanatimba!!!tuache habari za kujadili muonekano wa hawa jamaa bali ujumbe gani wanafikisha katika jamii.taka usitake hivyo vichwa viwili kwa tungo zenye ujumbe hapa bongo hamna wa kuwafananisha nao.......
 
Lakini kinachoonekana pichani ni chupa za pombe na si vipisi vya bangi. inashaangaza kulaumu bangi peke yake na si pombe.
pombe bwana...........
 
wabongo bwana!ukiwa na swagga flani unaitwa sharobaro,ukiwa kawaida wanatimba!!!tuache habari za kujadili muonekano wa hawa jamaa bali ujumbe gani wanafikisha katika jamii.taka usitake hivyo vichwa viwili kwa tungo zenye ujumbe hapa bongo hamna wa kuwafananisha nao.......

Nakubaliana kimsingi na unachosema kuwa hawa wanamuziki ni mahiri kwa kutunga nyimbo zenye mantiki. Lakini huwezi kutenganisha weledi wao kwenye muziki na muonekano wao katika jamii. Kwani hawa ni role models wa vijana na watoto wetu wadogo. Na mara nyingi watoto na vijana huwaiga hawa celebrities si kwa nyimbo tu bali hata matendo yao. Sidhani kama ungependa mwanao aige tabia za kuvuta bangi na kuwa shabby kama hawa jamaa.

Lazima hawa jamaa wazingatie hilo wakati wakifanya maamuzi yao katika masuala mbalimbali ya maisha yao binafsi. Ukishakuwa mwanamuziki maarufu unakuwa ni mtu wa watu "public figure" na huwezi kuepuka kufuatiliwa kwa karibu (public scrutiny) na wapenzi wa nyimbo zako ambao wanakuwa ni wadau muhimu katika maisha yako.
 
afande_sele4.jpg
afande+sele.JPG
02.JPG

Nashindwa kuelewa mpaka sasa hivi ni vigezo gani vinatumika kumpata mshindi wa Kili music award!
 
Haya ndio matatizo ya Bangi zikizidi. Sijui anamfundisha nini mwanae TUNDA!!! Na yeye akija kuwa mwimbaji mzuri wa kike aje aimbe hadi avue nguo abaki na chupi mbele ya kadamnasi???? Jaman wasanii tuige yenye maana na si kila walifanyalo wazungu basi tunaiga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom