Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Msanii Darassa amefunguka kuhusu kumponda diamond kwenye wimbo wake ambapo kuna mashairi yanayosema 'sio simba sio chui sio mamba' na kudai mashairi hayo hayamuhusu Diamond ila watu wameelewa vibaya
Pia ameongezea diamond hakustahili kujiita simba kwa kuwa simba anaweza kuuwawa na wanakijiji lakini yeye hawezi kuuwawa kirahisi kama simba
Wanyama wa simba chui na mamba ndio wanyama wakali wanaoogopwa lakini yeye amesema ana kitu kingine kikubwa cha kuogopwa kuliko wanyama hao