Je, Harmonize na Wolper Wameachana?

Phoenix

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
10,587
15,464
Kama kichwa cha habari kinavyouliza;Je inawezekana mtoto mzuri wa kichaga ambaye anapelekeshwa Puta na kilevi aina ya 'Whiskey' akawa amefikwa 'Hapaaa!' Na penzi tamu la mtoto wa Kimakonde?

Screenshot_2017-01-05-03-11-11-1.png
 
Alipelekwa hadi kwa Mzazi wa harmonize;akapiga sana mapicha na mawifi.
Mi mbona yule mshikaji wangu kwa mama yake anawapeleka kila aina ya wanawake kuwatambulisha?

Kutambulishwa au kuvishwa pete si ishara ya ndoa, ndoa ya dhati inatoka moyoni.

Hivi tuwe wakweli tu, ni kweli huyo Wolper anakipenda hicho kitoto au ana interest zake tu?
 
Back
Top Bottom