Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 #1 Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa kwa washabiki wake. Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha pete wa kwake.. Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee! Ila hilo shape! Shikamoo mbunge.
Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa kwa washabiki wake. Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha pete wa kwake.. Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee! Ila hilo shape! Shikamoo mbunge.
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 12,121 20,001 Jan 1, 2017 #2 Mbona wadada wawili tofauti? Naona mmoja wa kunyumba mwingine mzungu, au inakuwaje hapo?
Activity Ratio JF-Expert Member Jun 9, 2016 554 577 Jan 1, 2017 #4 Ina maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete
Ina maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 Thread starter #5 PAGAN said: Mbona wadada wawili tofauti? Naona mmoja wa kunyumba mwingine mzungu, au inakuwaje hapo? Click to expand... Anajipodoa sana
PAGAN said: Mbona wadada wawili tofauti? Naona mmoja wa kunyumba mwingine mzungu, au inakuwaje hapo? Click to expand... Anajipodoa sana
Rogie JF-Expert Member Nov 22, 2010 7,585 6,697 Jan 1, 2017 #6 Activity Ratio said: Ina maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete Click to expand... Wanahalalisha uzinzi.
Activity Ratio said: Ina maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete Click to expand... Wanahalalisha uzinzi.
Liparamba JF-Expert Member Jun 12, 2016 690 592 Jan 1, 2017 #7 Hiyo ya kupiga goti wakunyumba ipo sawa?
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 Thread starter #8 Activity Ratio said: Ina maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete Click to expand... Wadada watakujibu
Activity Ratio said: Ina maana gani unaishi na binti unyumba more than five years na mpaka mtoto mnazaa then ndio unakuja kumvisha pete Click to expand... Wadada watakujibu
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 Thread starter #9 Mpanda nyangobe said: Huyu mshua alikuwa bachelor Click to expand... Labda alikuwa anafanya Ile ya karibu tuishi
Mpanda nyangobe said: Huyu mshua alikuwa bachelor Click to expand... Labda alikuwa anafanya Ile ya karibu tuishi
nra2303 JF-Expert Member Jul 28, 2015 2,975 2,547 Jan 1, 2017 #10 Mwaka mpya mambo mapya! Naona neema zimo mashaalaaah! Big up kwao
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 Thread starter #11 Liparamba said: Hiyo ya kupiga goti wakunyumba ipo sawa? Click to expand... Wakunyumba ndio nini mkuu?
Liparamba said: Hiyo ya kupiga goti wakunyumba ipo sawa? Click to expand... Wakunyumba ndio nini mkuu?
Quinine Mwitu JF-Expert Member Oct 19, 2014 5,529 6,095 Jan 1, 2017 #12 Daaa umri wote huo kumbe alikuwa anawafunua tu anasepa,daaa
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 Thread starter #13 Mabs said: Daaa umri wote huo kumbe alikuwa anawafunua tu anasepa,daaa Click to expand... Hivi si anakaribia 40 yrs?
Mabs said: Daaa umri wote huo kumbe alikuwa anawafunua tu anasepa,daaa Click to expand... Hivi si anakaribia 40 yrs?
agata edward JF-Expert Member Nov 25, 2014 6,641 9,397 Jan 1, 2017 #14 Lol kuna umri ukifika bora usitangaze unaoa Fanya kimya kimya tu.
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 Thread starter #16 agata edward said: Anataka zawadi tu Click to expand... Kwa mwanamke lazima utangaze mkuu... Ni siku ya ndoto yao maishani hata kama kazeeka
agata edward said: Anataka zawadi tu Click to expand... Kwa mwanamke lazima utangaze mkuu... Ni siku ya ndoto yao maishani hata kama kazeeka
Kitumbikwela Senior Member Nov 5, 2016 140 99 Jan 1, 2017 #17 agata edward said: Lol kuna umri ukifika bora usitangaze unaoa Fanya kimya kimya tu. Click to expand... Sio kweli, kuoa au kuolewa age is nothing!
agata edward said: Lol kuna umri ukifika bora usitangaze unaoa Fanya kimya kimya tu. Click to expand... Sio kweli, kuoa au kuolewa age is nothing!
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 Thread starter #18 Kitumbikwela said: Sio kweli, kuoa au kuolewa age is nothing! Click to expand... Fact!
Ethos JF-Expert Member Aug 1, 2015 2,294 2,059 Jan 1, 2017 Thread starter #20 Mapovu said: Ilibidi aoe tu kabisa Click to expand... Unajua Mbunge lazima uwe na Bebe anayeeleweka