Video: Young D Na dawa za kulevya

Young D anaingiza mkwanja mrefu sana, yaani hata mimi nampelekea hesabu ya bajaji kila siku bila kujua..
Ngoja niitafute na mimi hiyo kitu aiseee, haya sio maisha..
 
Mods: Naomba hawa watu wanaolazimisha traffic kwa kuweka video ambazo lazima u-visit blog yake, mzifute mara moja. Naamini kunauwezekano wa kucheza moja kwa moja kwa video hapa JF bila kupitia mablog hasa hiyo vimeo. Naomba sana hii kitu inanikera sana. Najua nawao ni watafutaji but waende correct platform yaani matangazo ya biashara. Asante.
 
Hehehe Vimeo ni blog ya mtu? Ukiwa na high end device unaplay video mahali hapo hapo ilipo( Hata kama uko kwenye Message App).
 
Mods: Naomba hawa watu wanaolazimisha traffic kwa kuweka video ambazo lazima u-visit blog yake, mzifute mara moja. Naamini kunauwezekano wa kucheza moja kwa moja kwa video hapa JF bila kupitia mablog hasa hiyo vimeo. Naomba sana hii kitu inanikera sana. Najua nawao ni watafutaji but waende correct platform yaani matangazo ya biashara. Asante.

Mbona wewe hujapeleka kero yako jukwaa la Complaints
9.PNG
 
Back
Top Bottom