Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Msanii Temba akizungumzia kisa cha kutotoa kazi mpya za muziki kwa muda mrefu amedai kuna biashara ya magari aliyokuwa akifanya na rafiki yake na kulikuwa na fedha kiasi cha karibia milioni 100...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Msanii wa vichekesho Idris Sultan amefunguka kwa kudai kuwa uhusika aliouvaa ndani ya filamu ya ‘Kiumeni’ ya Ernest Napoleon ni vitu ambavyo viliwahi kumtokea katika maisha yake. Filamu hiyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwakweli kuna mtu kakalishwa vibaya...
6 Reactions
132 Replies
25K Views
Taarifa mbaya ya kusikitisha kutoka kwa staa wa nyimbo za Injili, ROSE MUHANDO zinadai kuwa, mwimbaji huyo anasakwa na uongozi wa Sober House ya Pederef ili waweze kumwokoa kwenye matumizi ya...
1 Reactions
73 Replies
13K Views
Deleted member 421398
Wasanii wa kwetu hapa ni wa ajabu sana yaani waliwekwa ndani wakina TID na wenginao ila hapakuwa na hata mmoja aliekuwa akipost picha zao na kuwapa maneno ya faraja ila sasa kawekwa Vanessa Mdee...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
"Mchungaji ...yapata kama wiki mbili zilizopita nilihoji kupitia vyombo vya habari juu ya ‘utajiri' wa ghafla wa mkewangu Mara baada ya mgogoro kutokea kati yangu na yeye, bila kupoteza muda...
6 Reactions
138 Replies
29K Views
Jarida la Forbes la nchini marekani limetoa wasanii matajiri zaidi duniani ,Africa na kanda mbali mbali ambapo kwa upande wa Africa mashariki. Diamond platinum ameongoza kwa kuwa na utajiri wa...
17 Reactions
86 Replies
104K Views
Kweli milango ikifunguka hakuna namna.Hamorapa kusindikizwa na P Majan studio?.kama IPO IPO tu ============================================== Nucky Thompson, post: Mkongwe katika gemu ya Bongo...
5 Reactions
61 Replies
16K Views
Msanii mkongwe wa nyimbo za Injili nchini Rose Muhando amekanusha taarifa ambazo zilizagaa mitandaoni ikiwemo hapa JF kuwa ameingia katika matumizi ya Madawa ya kulevya. Muimbaji huyo alidai...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ilikuwa ni kwenye sherehe za Ali Kiba kupata tuzo ya MTV Ema na Ali Kiba alipoulizwa kuhusu mahusiano yake na Jokate alimkana kabisa na kusema pale yupo kama wageni wengine, mama yake Ali Kiba...
0 Reactions
126 Replies
26K Views
After several days of radio silence in her war with Remy Ma, the wait for Nicki Minaj’s official response is over. Nicki Minaj has finally addressed Remy Ma’s“SHETHER” diss track, which many...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Kwa kutambua thamani yake serikali ya afrika ya kusini kupitia kitengo cha utalii kimempatia kandarasi nono msanii diamond kutangaza maeneo yao ya utalii hayo diamond alifunguka baada ya shabiki...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Today marks the 20th anniversary of Biggie's death. Regarded as one of the best rappers to ever did it, I've decided to stretch(don't really know much) 20 things I know or have heard about the...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Nadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
12 Reactions
62 Replies
9K Views
Maana kwa upande wa muziki wasanii wetu huwa hawapotezi bahati inapotokea anakuja msaani wa nje watafanya juu chini mpaka wapate collabo kama ilivyo kuwa kwa ndgu yetu Diamond alivyopiga collabo...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
"Remy Ma has come out swinging in a new diss track targeting Nicki Minaj ... and with lyrics that include, "f*** Nicki Minaj," she's definitely not hiding any feelings. Internet speculation grew...
9 Reactions
222 Replies
27K Views
mwendelezo wa Maangamizi yz Burudani ,Hii sasa Kubwa kuliko kutoka kwa Rapper aaliyepata Umaarufu wa haraka anaitwa Hamorapa, amezungumza kwamba ujio huu sio wa kubahatisha na kwa wale wanaomsema...
7 Reactions
87 Replies
27K Views
hivi huyu ni mtoto wa Tausi au wa mdugu yake?maana najiuliza mtu mfupi hivi anaweza beba mimba? Na akajifungua salama kabisa? Sijawaj ona mtu mfupi namna hii kabeba ujauzito,,au ni mim tu mnieleweshee
1 Reactions
27 Replies
9K Views
wengiene hawataki kuamini kwamba hakuna social media hapa bongo bila this young man aitwaye william aka Billy aka sauti ya umeme,sukari ya warembo,le baharaia himself.katupia vi icons vyote vya...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
The America singer Nicki Minaj, showing off her boobs at Paris Fashion Week. The look her face sported while sitting in the front row during a Paris Fashion Week show on March 4 was updated for...
3 Reactions
29 Replies
17K Views
Back
Top Bottom