Toa na wewe maoni yakoFreestyle my foot....
stamina ni kama genius tungo zake ni amaizing sanaHahaa hatari...Verse yangu moja album sita za timbulo
Ku freestyle ni kufanyaje?Baba hapo hakuna hata mmoja anayefreestyle....Wote wanachana tu!!
Ndio kunakuwaje huko?Kumwachia huru style
Songa ana freestyle???..Mkuu we umeangalia video nyingine ama?Songa ana freestyle ila Stamina anaonekana ni mistari ambayo tayari ilishaandaliwa mapema,
Nawakubali wote.
Ila Kwangu mimi Songa kafunika.