kirisha
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 573
- 663
Kwa kutambua thamani yake serikali ya afrika ya kusini kupitia kitengo cha utalii kimempatia kandarasi nono msanii diamond kutangaza maeneo yao ya utalii
hayo diamond alifunguka baada ya shabiki yake kumuliza swali
asante msisahau kupitia wasafi.com kuchukua hii kitu