Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Leo katika kipindi cha XXL segment ya "you heard" Hakukuwa na uwepo wa Kiongozi wa Shilawadu Sood Brown Inasemekana wamepewa Likizo wote yeye na Kwisa baada ya sakata hili la Makondakta Poleni...
4 Reactions
56 Replies
8K Views
Aisee Kulikua na Mambo mengi sana Leo Pokea let Birthday wishes zangu we like you!
8 Reactions
83 Replies
10K Views
Watu maarufu /mashuhuri wengi wanakuwaga na majina ya kipekee au hadimu yani unakuta hilo jina analo yeye tu na ukoo wake . Mfano: 1.Nyerere 2.JW Bush 3.Osama 4.Gadaff 5.Lowassa 6.Kikwete 7.Mkapa...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Kapost muda huu kwenye page yake Instagram Jamani Gwajima keshatoa warning,kesho kinanuka, last week alisema kafunga mjadala unless achokozwe apige double manifestation sasa naona Bashite...
41 Reactions
230 Replies
29K Views
  • Closed
Mwenye picha ya Sudi Brown please aiweke hapa,nahitaji kumfahamu.
0 Reactions
289 Replies
143K Views
Hatimae muda umewadia wa kumjua baba halisi wa mtoto wa Frola Mbasha Baadhi ya matukio ya nyuma .......... >>> MBASHA ADAI KUKOMBWA KILA KITU NA FLORA http://youtu.be/fUAGeSf63Ps >>>BABA...
6 Reactions
392 Replies
96K Views
Mwimbaji Emmanuel Mbasha anadai Flora alimfungulia kesi mahakamani mara tatu akataka ampe talaka lakini Mbasha akamshinda kwenye kesi hizo lakini Flora akaendele kufungua tu kesi kwenye mahakama...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Familia ya Mbasha inaendelea kutengeneza vichwa vya habari. Baada ya mchungaji maarufu nchini, Gwajima kukanusha kuwa si baba wa mtoto wa Flora Mbasha, mume wa muimbaji huyo wa muziki wa...
2 Reactions
47 Replies
16K Views
Msanii wa kizazi kipya mwenye rekodi ya kupatwa na misuko suko ya madwa ya kulevya amepata nafuu na sasa ameingia studio kutoa ngoma aliyomshirikisha Mr Blue na Matonya kabla ya kuumwa, na sasa...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi maarufu kama harmorapa leo amemtembelea P funk offisini kwake bongo records kwa mwaliko maalum kujadili mambo ya musiki. Akihojiwa katika kipindi cha amplifaya...
3 Reactions
74 Replies
10K Views
Baada ya kushikiliwa na polisi kwa takriban siku 4, Vanessa Mdee ameachiwa kwa dhamana Jumatatu hii. Vanessa ambaye alishikiliwa muda mfupi baada ya kurejea kutoka Afrika Kusini ni miongoni mwa...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
instagram huyu mdada ana followers zaidi ya Million 92
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jackiline Wolper na Harmonize wamerudiana na wamefanya interview clouds radio kwenye XXL, wamedai kulikuwa na misunderstanding ila sasa wamerekebisha Harmonize anadai kuna nyimbo amefganya video...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Eeh ila wambea nimewavulia kofia, wiki kadhaa nilisikia makelele kuwa diva katimuliwa clouds ,diva mwenyewe akatoa mchambo wa haja kukanusha,kumbe kweli bibie kitumbua kimeingia mchanga,looh...
6 Reactions
59 Replies
22K Views
Mtangazaji wa EATV ambaye anahoji ma celebrities alikuwa akimhoji Idris Sultan basi iDris akamchana ya kuwa ana maswali ya kukera mno, ni yule anayehoji watu kwenye kipindi cha E newz
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwenye kipindi cha planet bongo watangazaji wa Dullar na juma junior wametokwa na povu baada kusikia kauli ya diamond aliosema sasa hivi akitoa nyimbo hategemei radio na TV pekee kusambaza mziki...
11 Reactions
158 Replies
25K Views
Magufuli akiwakaribisha wasanii kwenye mkutano wa CCM Dodoma aliwasifu kuwa ni wasanii wazuri na sio kama yule mwingine aliyehamia upande wa pili
0 Reactions
122 Replies
20K Views
HARMORAPA,rapa anayetikisa soko la mziki barani Afrika na vibao vyake kadhaa kama UTHIGAWE PATHI na vingine vingi vinavyopigwa na vituo mbalimbali vya kimataifa amejikuta anaingia kwenye migogoro...
18 Reactions
50 Replies
9K Views
jamaa kajitahidi kuvumilia kutoka mwanza mpaka WCB
3 Reactions
57 Replies
10K Views
Back
Top Bottom