Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
mwendelezo wa Maangamizi yz Burudani ,Hii sasa Kubwa kuliko kutoka kwa Rapper aaliyepata Umaarufu wa haraka anaitwa Hamorapa, amezungumza kwamba ujio huu sio wa kubahatisha na kwa wale wanaomsema yeye Nyani waendelee yeye Kazi kazi tuu .