Nadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147
Wizara Yetu imenisikitisha sana. Will Smith ni muigizaji nguli kutoka marekani. Hakika ni muigizaji ambae ana watu wengi wanaemfatilia. Nilidhani kufika kwake hapa nchini pangepewa kipaumbele. Kuna watu huko ulaya na Amerka hawakujui Tanzania kabisa.
Kufika kwake hapa ni fursa ya kutangaza mlima Kilimanjaro na mbuga Yetu ya Serengeti kwamba vipo Tanzania na sio Kenya. Ni fursa nzuri ya kutangaza mbuga zetu nyingine pia na Tanzanite Yetu.
Dah mtoto wa kitaa Philadelphia huko mpaka Prince wa Bel Air kwa kina Carlton wa Kishua ila boya ...Dah good old daysDJ Fresh Prince and Jezz Jeff, where is Jadda Pinkett?
smith HAKUTAKA HAYO.....Nadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147
Wizara za Serikali na taasisi zake, sio wabunifu! Kazi hii wanaiweza Wakenya!!Nadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147
Nadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147
Nadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147
Ulitaka wafanye vp.... toa ushauri au maoni.... sio malalamiko tuWizara Yetu imenisikitisha sana. Will Smith ni muigizaji nguli kutoka marekani. Hakika ni muigizaji ambae ana watu wengi wanaemfatilia. Nilidhani kufika kwake hapa nchini pangepewa kipaumbele. Kuna watu huko ulaya na Amerka hawakujui Tanzania kabisa.
Kufika kwake hapa ni fursa ya kutangaza mlima Kilimanjaro na mbuga Yetu ya Serengeti kwamba vipo Tanzania na sio Kenya. Ni fursa nzuri ya kutangaza mbuga zetu nyingine pia na Tanzanite Yetu.
kuna mengi ya kufanya na sio kumwangali a yeye tu ni mkubwa kwakoWizara Yetu imenisikitisha sana. Will Smith ni muigizaji nguli kutoka marekani. Hakika ni muigizaji ambae ana watu wengi wanaemfatilia. Nilidhani kufika kwake hapa nchini pangepewa kipaumbele. Kuna watu huko ulaya na Amerka hawakujui Tanzania kabisa.
Kufika kwake hapa ni fursa ya kutangaza mlima Kilimanjaro na mbuga Yetu ya Serengeti kwamba vipo Tanzania na sio Kenya. Ni fursa nzuri ya kutangaza mbuga zetu nyingine pia na Tanzanite Yetu.
We Bashite vipi kuna mtu kasema awekwe kwenye tangazo? Ziko njia nyingi sana za kuijulisha dunia kwamba amekuja, Mfano ni alipotembelea Ikulu last timeukimuweka Will Smith kwenye tangazo lenu utamlipa sh.ngapi labda kwa mfano??
please toeni ushauri wizara wawe wabunifu sio kudandia kiki ya mteja aliyekuja kutumia pesa yake.