Hivi Tausi ana mtoto ?

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
50,269
70,663
Screenshot_2017-03-09-00-40-36-1.png
hivi huyu ni mtoto wa Tausi au wa mdugu yake?maana najiuliza mtu mfupi hivi anaweza beba mimba? Na akajifungua salama kabisa? Sijawaj ona mtu mfupi namna hii kabeba ujauzito,,au ni mim tu mnieleweshee
 
Tausi nadhan hana mtoto ila ana dada yake nae mfupi hivyo hivyo huyo ana mtoto. Wanaweza kubeba mimba na kujifungua watoto kama kawaida,mtoto anaweza kuwa mfupi kama yeye au mrefu kama kawaida.
 
Kusema kwamba hawazai ni propaganda tu,
hao wanazaa kama kawaida
 
Mi Nampenda huyo Tausi kama mtu anamawasiliano naye aniPM tufanye maisha
 
Back
Top Bottom