Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mashabiki wa Tanzania wanaongoza kwa kuendeshwa na mihemko na matusi tele bila kutoa sapoti yoyote kwa kununua kazi za msanii wampendae. Wapo tayari kuchangishana pesa ya kigodoro kwenda kumsunta...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
to get the full story please kindly click on this link http://jamiiforums.com/1lG5Tv
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dogo aisee ni jux full sio kama amorappa surakavuu namshauri atafutekikk atatoboa
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nan analipwa zaidi kati ya daktari na injinia
0 Reactions
66 Replies
19K Views
Siku zote napenda kujifunza vitu vipya,nisivyovifahm kuhakikisha navifahamu. na kwa kila hatua ya ufahamu ninayoipiga sisahau kumkumbuka Diamond,mtu ambaye siku zote amekuwa akinitia moyo na kuwa...
5 Reactions
38 Replies
7K Views
SIKU chache baada ya msanii wa kizazi kipya, Ali Kiba, kudai kuwa anamchukulia mwanamitindo Jokate Mwegelo kama rafiki yake, mrembo huyo ameibuka na kusema huenda aliteleza kutoa kauli hiyo...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Kuna watu walikua maarafu sana kwenye fani zao ila kuna matendo waliyafanya ya kizembe sana au ya kijinga mno ambayo yameharibu maisha yao au umaarufu wao, Tafadhali mtaje jina na uelezee...
3 Reactions
98 Replies
16K Views
Ni safari ya kitalii anaenda kutembea Ngorongoro.
14 Reactions
82 Replies
14K Views
Bwana mdogo anayekuja juu kwenye anga ya muziki anayetamba na ngoma yake ya usigawe pasi ambay e pia anafananishwa kimuonekano na sura kwa mbali na mwanamuziki kutoka WCB ,Harmonize ,amedai kuwa...
11 Reactions
117 Replies
22K Views
UZINDUZI wa albamu ya saba ya mkongwe wa Muziki wa Kizazi Kipya, Judith Wambura a.k.a Jide, iitwayo Woman utafanyika katika viwanja vya Jeshi vilivyopo Lugalo maarufu kama Golf Ground, jijini Dar...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilikuwa sijausikiliza wimbo wa mwanadada video queen wa Tanzania Amber Lulu. Dah kusema kweli nimeupenda kumbe ana sauti nzuri. Akikaza anweza toboa aise. Hebu ucheki hapa unaitwa WATAKOMA.
6 Reactions
54 Replies
8K Views
Baada ya kuachana meneja wake amemnyang'anya gari Man Fongo baada ya kutofautiana ================================================ Shilawadu wamepenyeza taarifa za mkali wa Singeli afahamikae...
0 Reactions
24 Replies
8K Views
Msanii mchekeshaji Steven Nyerere ameendelea kum diss TID kwa kusema ni mtu ambaye wakati wake umepita na pia hajielewi na hawezi kujifananisha naye Amedai msanii huyo anaishi kwao na amekuwa...
3 Reactions
56 Replies
10K Views
Actor, producer, songwriter na rapper Will Smith wa Marekani ametua nchini Tanzania kutalii. Magazeti na wanahabari wa kwa luninga etc mnatia aibu nchi yetu. (kama ulionyesha or kuandika hata...
10 Reactions
45 Replies
10K Views
Like the rumors weren't enough...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Bwana apewe sifa. Jokate mimi binafsi namfahamuuu tulisoma kipindi kimoja. Hatukupishana sanaa miaka. Kwa wale mnaosema i am above 30 Mungu anawaona. Ila sooner or later ill be above 30 anyway na...
23 Reactions
211 Replies
74K Views
Leo siku ya jumatatu imekuwa ikisubiliwa kwa hamu na mafansi wa WCB Wasafi, hususani wale wa harmo,kutokana na kuahidiwa ngoma mpya kutoka kwa harmonize ambaye ngoma yake binafsi ya mwisho ilitoka...
2 Reactions
38 Replies
11K Views
Katika hali ya kushangaza kabisa, mshiriki wa Shindano la Bongo Star Search (BSS) 2008, Abubakar Mzuri, amepelekwa katika kituo cha udhibiti wa matumizi ya madawa ya kulevya ‘unga’ cha Pilli...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwigizaji na mrembo wa taji la Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu amedai anapokea vitisho vya kupotezwa kama ataendelea na msimamo wake wakuitumukia Chadema Kwa upande wake Wema amesema hatishwi ana...
6 Reactions
59 Replies
8K Views
Back
Top Bottom