nyamalagala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 744
- 673
Kweli milango ikifunguka hakuna namna.Hamorapa kusindikizwa na P Majan studio?.kama IPO IPO tu
==============================================
Nucky Thompson, post:
Mkongwe katika gemu ya Bongo fleva P Funk amedai Harmo rapa ana kipaji na ni msikivu anayetaka kusonga mbelekimuziki na sio kikikama wasanii wengine, amedai kwa sasa amekuwa msanii mkubwa na anampa kiki za bure Harmonize hivyo anatakiwa kubadili jina