Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Ilikuwa ni kwenye sherehe za Ali Kiba kupata tuzo ya MTV Ema na Ali Kiba alipoulizwa kuhusu mahusiano yake na Jokate alimkana kabisa na kusema pale yupo kama wageni wengine, mama yake Ali Kiba alipoulizwa nae akajibu hamfahamu binti huyo kama mchumba wa mwanae... Jokate alipofuatwa alishindwa kujibu lolote na kukimbia