brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Kwenye kipindi cha planet bongo watangazaji wa Dullar na juma junior wametokwa na povu baada kusikia kauli ya diamond aliosema sasa hivi akitoa nyimbo hategemei radio na TV pekee kusambaza mziki wake Bali anatumia mitandao ya kijamii kuhakikisa mziki wake unafika kwa mashabiki kwa ukubwa alionao,
Tofauti na zamani redio na TV zilikuwa na nguvu kumshusha msanii
Dullar amesema diamond amekosea kutoa kauli hiyo na ametoa boko na angesema hivyo kabla hajawa Diamond wakati anatoa mbagala
Huku juma junior akisema diamond ametoa kauli ya kijiweni na ya kijinga.
Ikumbukwe diamond na EA media wamekuwa na mgogoro wa muda mrefu kiasi hawachezi nyimbo za Diamond kwenye vituo vyao.
Ilibuka upya baada ya diamond kugoma kushiriki tuzo za EATV awards, Diamond hakuchukua form za kushiriki.