Jackiline Wolper na Harmonize warudiana, wafanya interview clouds

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Jackiline Wolper na Harmonize wamerudiana na wamefanya interview clouds radio kwenye XXL, wamedai kulikuwa na misunderstanding ila sasa wamerekebisha

Harmonize anadai kuna nyimbo amefganya video na Wolper atatokea kwenye video hiyo

Kama kawaida jina la msanii controversial Harmorapa liliibuka kwenye interiew hiyo amabapo wolper ameulizwa anajisikiaje ana boyfriend anayefananishwa na jamaa ambaye huyo jamaa anafananishwa na nyani? .....akashindwa kujibu

Watoto wa Madale hawawezi kutoa wimbo bila kuusindikiza na Kiki.

Baada ya kuona wimbo unasua sua kaamua kumuomba "Bibi" amsaidie kuipa Kiki.
 
Jackiline Wolper na Harmonize wamerudiana na wamefanya interview clouds radio kwenye XXL, wamedai kulikuwa na misunderstanding ila sasa wamerekebisha

Harmonize anadai kuna nyimbo amefganya video na Wolper atatokea kwenye video hiyo

Kama kawaida jina la msanii controversial Harmorapa liliibuka kwenye interiew hiyo amabapo wolper ameulizwa anajisikiaje ana boyfriend anayefananishwa na jamaa ambaye huyo jamaa anafananishwa na nyani? .....akashindwa kujibu

EPISODE II just released
 
Nadhani walitengeneza tu ugomvi ku-push ngoma mpya ya dogo vijana wanaita KIKI ndio style yao siku zote kabla hawajatoa wimbo.
 
Kilaaa ckuu jamaa anashukaa tu ki muziki ..video ya kawaidaa Sana'a ..Raymond atamwachaa mbalii sanaaa
 
hamornize ajiangalie vizuri huyo mwanamke wolper ni nyoka, she's after money gold digging hoe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom