Chid Benz kapona tayari, huu ndio muonekano wake mpya

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,937
19,129
Msanii wa kizazi kipya mwenye rekodi ya kupatwa na misuko suko ya madwa ya kulevya amepata nafuu na sasa ameingia studio kutoa ngoma aliyomshirikisha Mr Blue na Matonya kabla ya kuumwa, na sasa atafanya ngoma nyingine hayo yamesemwa na Rash Don

 
Watu ambao wameamua kumsaidia Chid hawako sawa kabisa ivi kuna sababu gani ya kumrudisha kwa haraka then mnapeleka studio afanye joint hata kabla hajajifanyia tathimini ya kina yeye mwenyewe huo muziki ndio chanzo cha mabalaa yake,utasikia kesho ana show Kinondoni hapo ndipo ndugu zake katika unga hawatokubali apite bila kuonja duh uyu jamaa wanaomsaidia ndio watakao mpoteza.
 
Huyu apelekwe hospitali ya wagonjwa wa akili sasa. Angalia sura yake kwa makini tu utaona huyo si mzima, sasa sijui atatuimbia nini tumwelewe!
 
Hawa wanaomsaidia nao wanafiki,Wapuuzi na watafuta Kiki.

Hivi Chid hawezi kuishi maisha mengine nje ya muziki?
Kama kweli wameamua kumsaida kuna haja gani ya kukimbilia aende studio akafanye nyimbo?!

Hao majamaa hawama lengo la kumsaidia zaidi ya kutaka kumtumia na kujipatia Kiki mjini.
 
Hawa wanaomsaidia nao wanafiki,Wapuuzi na watafuta Kiki.

Hivi Chid hawezi kuishi maisha mengine nje ya muziki?
Kama kweli wameamua kumsaida kuna haja gani ya kukimbilia aende studio akafanye nyimbo?!

Hao majamaa hawama lengo la kumsaidia zaidi ya kutaka kumtumia na kujipatia Kiki mjini.

Bro unaonaje ukimsaidia wewe ili apone kabisa
 
Chid benz anatupa somo zuri vijana,,,,,wakati wako wa kutesa ukifika fanya vitu vya maana kwakua siku ukianguka hutaweza kurudia tena zama zako
 
Sumu ya madawa haiwezi kutoka kirahisi hivyo..inabidi apate muda zaidi wa kupumzisha akili ili sumu iondoke mwilini
 
Madawa ya kulevya ni kama punyeto....unaweza kuacha miezi sita, then siku moja unasema wacha leo tu nijilipue then ndo unarudi mazima....
 
Back
Top Bottom