Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Mwimbaji Emmanuel Mbasha anadai Flora alimfungulia kesi mahakamani mara tatu akataka ampe talaka lakini Mbasha akamshinda kwenye kesi hizo lakini Flora akaendele kufungua tu kesi kwenye mahakama nyingine akidai talaka,
Sasa Mbasha ameamua kunyoosha mikono juu na sasa Flora anaolewa na bwana mwingine na Mbasha ameamua kuchangisha michango ya harusi yao
Pia anadai mpaka sasa yupo single licha ya kuonekana ametupia picha flani ya msichana huko mtandaoni na kuandika maneno '100'