Shilawadu waenda likizo baada ya sakata la Ijumaa

chege alisema hiyo kazi waliochagua inafanania KUPIGWA PIGWA KUVUNJWA MIGUU sasa ndio kinachotokea
 
Kwahiyo wewe unatuaminisha wametendewa vizuri?

Wewe ni maiti kabisa.
Ruge kasema hakuna aliyepigwa mitama wala kitako cha bunduki.

Ila jana tuliaminishwa ivo, na nilitaka iwekwe video, mpaka leo hakuna video.
 
Sio kila kitu ni cha kusema hadharani kama ulimsikiliza ruge vizuri utaelewa kwamba kama kuna vitu anaficha na kutofafanua vizuri baadhi ya maswali

Hata Gwajima kuna vitu alivificha kuwahusu hao clouds na aliwapa siku 3 wamsafishe.
 
Back
Top Bottom