Picha: Mtangazaji mpya wa ala za roho, baada ya diva kupigwa chini

warumi

R I P
May 6, 2013
16,218
18,440
Eeh ila wambea nimewavulia kofia, wiki kadhaa nilisikia makelele kuwa diva katimuliwa clouds ,diva mwenyewe akatoa mchambo wa haja kukanusha,kumbe kweli bibie kitumbua kimeingia mchanga,looh maskini pole diva
aefeb3dfe6cff563c34f6f285d53abdf.jpg
 
Sasa ile nyumba nan ataimalizia maana naona sponsors nao wakijiondoa mdogo mdogo
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Dada yule muanika nyuchi katemwa hakika ningeshangaa redio na tv pendwa ya mkulu kumuacha huyu dada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom