Good People
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 945
- 1,819
Aisee Kulikua na Mambo mengi sana Leo Pokea let Birthday wishes zangu we like you!
Kuna ya kuiga na ya kukimbia39 single.. na hata mtoto hana...wadada mnaotamani ndoa na kuzaa zaaa kisa umri umekwenda.. mwigeni mdee
...demu shujaa huyu...ubarikiwe sanaaaa....
Msimshambulie ataolewa na chamaDuh.........39 no mtoto no mume......kweli kamanda kaelekeza nguvu zake kuitumikia CHADEMA........HBD Mdee, nakukubali sana Kamanda.
Mnooooooooo...demu shujaa huyu...ubarikiwe sanaaaa....
Watoto ni baraka toka kwa mungu39 single.. na hata mtoto hana...wadada mnaotamani ndoa na kuzaa zaaa kisa umri umekwenda.. mwigeni mdee