Magufuli amdiss Wema Sepetu kuhamia CHADEMA

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,940
19,130
Magufuli akiwakaribisha wasanii kwenye mkutano wa CCM Dodoma aliwasifu kuwa ni wasanii wazuri na sio kama yule mwingine aliyehamia upande wa pili

7f289331f53ffb1ce6379ab4ac17bd42.jpg
 
Ameweza kumzungumzia Wema Sepeku lakini kashindwa kumzungumzia Bashite na vyeti vyake vya kufoji! Eh! Mungu inusuru nchi yetu na hili janga kubwa linaloikabili.
Aaakha! Basi mi nikadhani anasema msanii aliyehamia upande wa pili kwa Zuma! Kumbe super Lady naye anamuumiza kichwa
 
Ameweza kumzungumzia Wema Sepeku lakini kashindwa kumzungumzia Bashite na vyeti vyake vya kufoji! Eh! Mungu inusuru nchi yetu na hili janga kubwa linaloikabili.
Ukitakata kujua nchi imevaa gunia ni kwa maongezi ya huyu bwana. Sasa Wema ndio wakumzungumzia yaani kiongozi wa nchi unasumbuka na watoto wadogo kweli? Safari ya huyu bwana ni ndefu sana kufikia kujitambua. Sio kila jambo la kulizungumzia busara na hekima vipo wapi?
 
Wewe una hekima gani?? Au kuwa nyuma ya kikeyboard yako??
 
Uheheni ukiona baba anagombana na wanawe ndani ya nyumba ujue familia inazidi kumshinda. Baadaye huamua aidha kuwa mlevi wa kupindukia, kukimbia familia, kufukuzwa na wanawe au kujinyonga kabisa...
 
Back
Top Bottom