bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Ni takribani miezi sita sijamsikia huyu jamaa aliyejizolea umaarufu kutoka kwa wake zetu akiaminika aliweza kuwasaidia wamama kupata matumaini yao yaliyopotea kufuatia kukosa nguvu za kike na kutopata ujauzito.
Dr.mwaka alijipatia jina kwa wake zetu na dada zetu akiaminika aliweza kuamsha MAJOGOO ya waume zao na wapenzi wao yaliypkuwa na ugonjwa wa usingizi wa pono nakujisahau kuwika mpaka asubuhi. YUKO WAPI DR.MWAKA KIPENZI CHAO....?????