Linah na shoga ake wamaliza tofaut zao

Linah na shoga ake wamaliza tofaut zao

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
157,400
Reaction score
465,217
Linah baada ya shoga ake mrs super star kumpindua kwa danga lake na mwenzie kuamua kumzalia hatimae wamaliza tofauti zao
Screenshot_2016-09-03-16-53-01-1.png
 
linah ananiboa sio kama alivyokuwa zamani alikuwa anavaa kiheshima ila sasa hivi anavyovaa binafsi ananikera sijui ndo ulimbukeni au ndo kutuonesha kuwa kabarikiwa. ajitulize kama zamani maana anavyojiharibia sifa hadi namwonea huruma
 
Ulimbukeni tu kwa kweli
 
Back
Top Bottom