Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Kwa siku nyingi naona jinsi huyu dada anavyoleta habari kama za kijasusi vile, tena nzito nzito na anazileta bila woga. Na wakati mwingine nabak najiuliza huyu dada ni nani?
Hivi mume wa huyu dada Mange Kimambi, anachepuka kweli?? Yani nina wasiwasi huyu kama ndio mkeo, ukichepuka atakuletea mpaka lile jina la uongo ulilondika guest, lodge au hotel. Na anaweza akakutajia mpaka idadi ya mabao uliyomsukumizia huo mchepuko wako.
Angekuwa wangu huyu, mimi D, najua tungeshaachana. Anafuatilia sana mambo aisee. Khaaa...!!!