Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Nimeshangaa katika pitapita zangu instagram kukuta Mange Kimambi kafuta post zake zote za kukashifu wengine, kampain choma kadi ya CCM etc. Nilichokikuta na posts za yeye na Familia yake tu.
Huyu dada inawezekana Malaika amemshukia au kunajambo nyuma ya pazia. Hii sio kawaida yake. Lazima kuna yaliyomkuta. Ila yatajulikana muda si mrefu.
Huyu dada inawezekana Malaika amemshukia au kunajambo nyuma ya pazia. Hii sio kawaida yake. Lazima kuna yaliyomkuta. Ila yatajulikana muda si mrefu.