Mange Kimambi ni Raia wa Tanzania au ashachukua uraia wa Marekani?

Swordsman

Senior Member
Nov 9, 2016
142
336
Habari zenu wana JF

Ikiwa ni jumapili Mubashara kabsaaaa kwangu lakini kwa upande wa Prince Daud Albert Bashite(jina lake halali kabsa) alimaarufu kama Paul C. Makonda(jina feki) mambo ni Mabaya sana, Mange Kimambi na Askofu Gwajima wamemkalia pabaya sana ndugu Bashite kiasi cha kukurupukua kila uamuzi anaochukua bila kushirikisha Ubongo!

Kutokana na taarifa ya kutafutwa kwa Mange Kimambi yaani Mange kuwa Most Wanted katika hii serikali ya awamu ya Tano, inakuaje wanapata shida sana kumkamata mange, kipi kinawapa ugumu!? inamaana Mange kachukua uraia wa Marekani au Bado ni Raia wa Tanzania.?

#Live_Long_Mange
 
Haezi kuwa raia wa Marekani watamnyang'anya urithi wake wote wa Tz kwa hasira. Green card holder
Na hawaezi kumkamat akiwa Marekani maana marekani kisheria hafanyi kosa, only linchi lenu ndo kosa kumkosoa rais na wajinga wake
 
Kumkosoa Sio kosa je kumtukana raisi marekani Pia Sio kosa?
 
huyo mdada anaitwa MANGE JUMANNE KIMAMBI.baba mpare mama makonde ,baba yake alizaliwa USA aliludi tz na kazi yake kubwa alikua injinia wa ujenzi kama sijakosea .
mzee j4 ameshatangulia mbele za haki kwa kujipiga mwenyewe kwa risasi akiwa bafuni.ameacha mke.sijajua vizuri ana watoto wangapi.
MANGE ameishi saana dubai amesoma huko na alifanyakazi huko kwa muda tu,na baadae aliludi tz na kuna miss tanzania mmoja aliwahi kua mwanamitindo au mfadhili wake.kwa sasa ameolewa USA.kwahiyo inawezekana kabisa akawa na uraia wa huko ingawa mama yake yupo hapa.
 
Its called speaking your mind in your own language, ushawahi kusiki mtu marekani kafungwa kisa kamtuksna Rais?
Soma tweets za wasanii wa marekani kila siku wanamtukana Trump, enzi za obama Trump kila mara alikuwa anamtukana Obama,
Hamna sheria ya kumfunga mtu kisa katukana, haipo!
 
huyo mdada anaitwa MANGE JUMANNE KIMAMBI.baba mpare mama makonde ,baba yake alizaliwa USA aliludi tz na kazi yake kubwa alikua injinia wa ujenzi kama sijakosea .
mzee j4 ameshatangulia mbele za haki kwa kujipiga mwenyewe kwa risasi akiwa bafuni.ameacha mke.sijajua vizuri ana watoto wangapi.
MANGE ameishi saana dubai amesoma huko na alifanyakazi huko kwa muda tu,na baadae aliludi tz na kuna miss tanzania mmoja aliwahi kua mwanamitindo au mfadhili wake.kwa sasa ameolewa USA.kwahiyo inawezekana kabisa akawa na uraia wa huko ingawa mama yake yupo hapa.

Duuuuh!!! Hahaa, aiseee
Acha nipite
 
Haezi kuwa raia wa Marekani watamnyang'anya urithi wake wote wa Tz kwa hasira. Green card holder
Na hawaezi kumkamat akiwa Marekani maana marekani kisheria hafanyi kosa, only linchi lenu ndo kosa kumkosoa rais na wajinga wake
Hebu kua serious mkuu matusi yale anayotukana mtandaoni hafanyi kosa? Au kwa vile hakutukani wewe......
Kuexpose madudu ya watu au serikali sio kosa hapo namuunga mkono ila kutukana na kuwadhalilisha watu ni kosa na sitamuunga mkono hapo.
 
huyo mdada anaitwa MANGE JUMANNE KIMAMBI.baba mpare mama makonde ,baba yake alizaliwa USA aliludi tz na kazi yake kubwa alikua injinia wa ujenzi kama sijakosea .
mzee j4 ameshatangulia mbele za haki kwa kujipiga mwenyewe kwa risasi akiwa bafuni.ameacha mke.sijajua vizuri ana watoto wangapi.
MANGE ameishi saana dubai amesoma huko na alifanyakazi huko kwa muda tu,na baadae aliludi tz na kuna miss tanzania mmoja aliwahi kua mwanamitindo au mfadhili wake.kwa sasa ameolewa USA.kwahiyo inawezekana kabisa akawa na uraia wa huko ingawa mama yake yupo hapa.
duuh ww uko nyuma ya taarifa.....kwa sasa mange ameshaachika na mama yake alishafariki miaka kadhaa iliyopita
 
duh! sawa inawezekana pia.
ila ukumbuke jinc.tunavyoelekezana na wanaomtafuta watazidi kumkalibia kwa kutumia mbinu za kuunganisha habari hapa jf na sisi tunaomba aendelee kua salama ingawa anamaneno makali sana juu ya anaowakosoa.
 
Alisha pata uraia. Angekuwa bado tayari angekuwa amekamatwa kwa sheria ya Interpol na kuletwa TZ lakin km amefanya kosa la maana na wala siyo kwa huu umbea
 
Back
Top Bottom