Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,477
- 25,403
Habari zenu wanajamvi ?
Kwa niaba yenu wapenzi wa hii forum yetu pendwa ya celebrities ,leo nimeamua kuja na wazo la kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono magufuli na bashite wake.
Tusiwaunge mkono kuanzia kununua kazi zao ,kutohudhuria show zao, kuto request nyimbo zao redioni au kwenye television kuto wapongeza kwa chochote kile ikiwemo simulation zao za kuzaliwa ,kutowasaidia pindi watakapopatwa matatizo yoyote mpaka pale watakapoacha kuwashabikia magufuli na bashite wake.
Mpaka sasa ni ukweli usiopingika kwamba 75% ya watanzania tupo against na anachokifanya magufuli kwa sababu ameinajisi kwa kiasi kikubwa katiba yetu na kudhulumu haki zetu za msingi huku akishirikiana na bashite
Hivyo basi msanii yeyote kwa atakayeonekana yupo na hawa mabwana tumtenge totally ili kazi zake atakazozitoa zimdodee mpaka pale atakapojirekebisha na kuja kujiunga na watz wote kwa pamoja ili tupinge huu udikteta unaofanywa na hawa mabwana wanaojivisha uungu utu.