marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
Ha haaa..... swali zuri mkuu....Hivi kabla ya tukio hili nyimbo za Harmorapa zilikuwa zinachezwa Clouds?
Inaweza ndo ikawa mwanzo wa Clouds media kuwapa kisogo WCB?Diamond aliletwa na Makonda,haaaaa haaaaa Kiboko ya Mabishoo ft Juma Nature
Kafanana na yeye. Kama ww ulivyofanana na wewe mwenyeweNikiangalia sura ya jamaa sijui hata kafanana na nini
Utakuwa bishoo wewe,wewe mwenye sura nzuri nani anakujuaNikiangalia sura ya jamaa sijui hata kafanana na nini
Kafanana na Harmonize acha povu mkuuUtakuwa bishoo wewe,wewe mwenye sura nzuri nani anakujua
ilikuwa haichezwi na hata xxl walikuwa hawataki kucheza nyimbo yake wala kulitaja jina lake...Hivi kabla ya tukio hili nyimbo za Harmorapa zilikuwa zinachezwa Clouds?
Nikiangalia sura ya jamaa sijui hata kafanana na nini