Ushauri; Diamond Anaelekea Kuvunja Ndoa Yangu.

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Sabakher Wadau;
Nimevumilia Ila Naona Sasa Mambo Yananifika Shingon! Jaman Yf Wangu Anampenda Diamond Mpaka Mi Naona Wiv Wa Kufa Mtu!!
Hebu Chek;
Profile Picture Fb Kamuweka Diamond.
Profile Picture Whatsapp Kamuweka Diamond
Wallpaper Kamuweka Diamond
Simu Imejaa Nyimbo Za Diamond Na Video Zake!
Na Ana Tatoo Ya Diamond!
Mara Ya Kwanza Nikadhan Kisa Picha Za Tumbo Wazi! Nikaenda Studio Nikapiga Nikamtumia!! Kajibu Nyc Pic Hubby Halaf Hakuweka Profile!
Nataka Nimrudishe Kwao Ila Aone Wivu Wangu Et Nitakua Nimepotea Jaman?
 
Mwache tu mwenzio; ni kama upepo wa fashion tu unapita kama wachaga na Jim Reeves au Bob Mlay (Malley)! In fact akigundua unalia wivu atakufanyia vitu vingi vya makusudi kuku-enjoy! Unatakiwa umu-encourage zaidi kwa kuwa unamnunulia vitu kama t-shirts; na kila kitu chenye picha ya Diamond; mpeleke kwenye show za diamond nk atamkinai! Usimsakame; infatuation na obssession ya Diamond itafifia polepole; mpe muda; isivuruge ndoa yako kwa jambo dogo kama hilo; wanawake wengi hapa nyumbani na nchi jirani wamekamatwa sana na upepo huo wa Diamond; relax, do not do something stupid ukajajuta baadae; majuto ni mjukuu!
 
Hilo neno na ww mpende zari,weka mpaka picha yake ukutani.
Ila utakuwa ujinga ni sawa nakusema ile ndege yakwangu na mwengine akasema ile yakwangu wakati uwezekana wa kumiliki hiyo ndege hamna,da mmenikumbusha utotoni tulikuwa tunagombania magari mpaka kupigana,ile langu ile langu,ole wako sasa useme nililosema mm ngumiii.
 
Ndio tabu ya kuwatoa Shinyanga na kuwaleta New York (Tandale)
 
huyo mkeo nae..eti hadi tattoo ya diamond,na ww ukamwangalia tuu..kwanza mke na tattoo wapi na wap
 
Back
Top Bottom