RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,776
wakuu mkipitia katika page za timu ya KRC-GENK, ya belgium anakocheza mtanzania mwenzetu mbwana samatta,, utakuta wabongo wamezifollow page za facebook na instagram za hiyo timu,sasa kimbembe kinakuja wakati hizo page zikipost habari yeyote watanzania wanakomenti.. SAMATTA,mara SAMAGOOL.mara CHAMPION BOY, wakati post za ile timu zinatolewa kwa kibeligiji na KINGEREZA,, kuna wabongo wanaweka mpaka matusi kwenye zile page,jamani watanzania tubadirike tunamuaibisha mwenzetu.