Msanii bora Bongo

Geechie

JF-Expert Member
Oct 26, 2015
977
761
Huyu jamaa namuelewa toka enzi zake yuko na wanae kina Jaffarahino maana bora tujadili music kwa sasa mpaka akit...........
 

Attachments

  • Jay+Moe+-+Nisaidie+Kushare+%28Official+Music+Video%29+%28+240+X+426+%29.mp4
    9.8 MB · Views: 35
"Less writting rhymes ,more taking picture"-Mo Tech,Nisaidie ku-share.
Jay Mo's pure talent since day one ndio vile mhuni hana bahati na game ila hajawahi fanya joint ya kibwege.
 
Pesa ya madafu na kama unataka demu hizi ngoma hazikosi kwenye playlist yangu yoyote ile
 
I download hapo juu mkuu,bonge la wimbo jamaa yuko sawa sana.
 
Back
Top Bottom