Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Heshima kwenu Mkuu, Msanii wa Bongo Fleva Ney wa Mitego, amesafirishwa kutoka Morogoro na kupelekwa Dar. Ney wa Mitego alikamatwa jana na Polisi mjini Morogoro kwa sababu ya wimbo wa Wapo...
0 Reactions
58 Replies
11K Views
In a new promo for Keeping Up With the Kardashians, Kardashian West reveals she is struggling with the possibility of a high-risk pregnancy as she and husband Kanye West try to conceive again. “I...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika ukurasa wake wa FB peter kibatala amesema watapigana mpk tone la mwisho leo hii 27/3/2017 kuhakikisha ney wa mitego anapelekwa mahakamani na anapewa dhamana. Ameandika hawawezi kumwacha...
28 Reactions
130 Replies
19K Views
Ney wa mitego naona sasa ameishiwa na kuamua kutafuta kiki kwa nguvu,hii nyimbo yake haina maadili kabisa,cover yake ni matusi tupu. Nadhani TCRA imefika wakati huyu jamaa afungiwe kwa muda ili...
2 Reactions
81 Replies
18K Views
Tasnia ya sanaa kwa kasi Tanzania, sanaa imekuwa ni ajira rasmi kwa vijana wengi, na wengi wamefanikiwa kimaisha kupitia maigizo, vichekesho miziki filamu uchoraji uremia nk Kwasasa sanaa...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Waziri wa habari, michezo na sanaa Nape Nnauye amesema msanii wa filamu Wema Sepetu amewapa heshima kubwa kwa ku launch application yake ya Wema Sepetu ambayo itakuwa inatoa taarifa za Wema...
2 Reactions
215 Replies
37K Views
kama ulikuepo kwenye viwanja vya leaders au ulikua ukiona kupitia eatv, kuanzia kwa adam juma mpaka kwa msemaji wa familia walitaja redio na stations mbali mbali wakizishukuru, lakina cha ajabu...
2 Reactions
88 Replies
11K Views
Kwanza niweke wazi kwamba mimi sio mfuatiliaji sana wa vipindi vyenye maudhui ya kiubuyu-ubuyu ndio sababu hata instagram ilinishindaga since then. Ila nimekuja kugundua watu wengi wanapenda sana...
6 Reactions
26 Replies
14K Views
Samahani wakuu,nataka kufahamu ni msanii gani wa bongo hip hop ana mafanikio ya kipesa..Lengo ni kujua kwamana upande wa wenzetu wa bongo fleva au kuimba imba msanii kama diamond anaonekana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani Harmo yuuuuuuuuleee.... Huyu mtu kimzahamzaha anapata tu airtime. Sielewi hata ilikuwaje akawa hapo kwa muda huo lakini ndo anakiki mwenzenu. Naona alienda kumsapoti Homeboy wa Mtwara...
8 Reactions
28 Replies
6K Views
Muigizaji kutoka kiwanda cha bongo movie, jackline wolper ,kupitia ukurasa wake wa instagram, amewaomba radhi followers wake kwa kupost sana biashara hku akidai madeni yamekua mengi sana hivyo...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari zenu wapenda burudani, Ni dhahiri kua kwa sasa mziki wa bongofleva ndio kitu pekee kinacholitangaza zaidi taifa letu katika tasnia ya burudani. March 18 mwaka huu ambapo kutafanyika...
6 Reactions
68 Replies
10K Views
Watu wengi wameoneshwa kusikitishwa na jambo lililomkuta Mange Kimambi kuhusu kupigwa mnada kwa Hoteli ya familia yao ambayo Mange anahisa 25%. Kwa kuonyesha masikitiko yao juu ya jambo hilo, watu...
17 Reactions
145 Replies
29K Views
Katika hali inayoonesha kuwa taarifa zinavuja kwa kasi na ishara kuwa mange anakubalika kwa watu wengi hata ndani ya system hii leo mange amepost waraka anaodai kutumiwa na mtu toka ndani ya...
7 Reactions
704 Replies
79K Views
Tupia jicho ujionee kwenye kipazia chako Hamonaizi amwoneshe kidole cha kati boss wa hamorapa, Hamonize alikua na interview EATV kipindi cha FNL alipo mkuta hamorapa EATV ameamua kusepa.
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Hii remix sijui hata ilipotelea wapi ndani ya siku moja tu ikapotea kwa mawimbi....na mwenye wimbo ndo anasifika kwa kutoa ngoma zenye long term life hii imekaaje mbona imepotea ghafla nn tatzo au...
7 Reactions
55 Replies
6K Views
Miss Tanzania amelalamika kuporwa ushindi wa Miss Afrika na miss wa Kenya baada ya mrembo wa Kenya kumjuibia makala yake ambayo ndio imempa ushindi. Miss Tanzania Diana Edwardamedai wamefuatlia...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Siamini kama Kamanda huyu kwa sasa amekuwa outdated. Siamini kama CHADEMA wamemsahau kiasi hiki. Siamini kama zile mbwembwe za awali zimeyeyuka kiasi hiki. Kuna siku niliwatahadhalisha kuwa siku...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache...
10 Reactions
129 Replies
15K Views
Mwizi anaejisifia kwa kujiita (Super hacker) Ameiba account ya Star wa Bongo Movie Shamsa Ford amabapo jina la account hyo kwa sasa amelibadilisha na kujiita @umerikoroga utalinywa mwenyewe...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…