juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Leo nimebahatika kusikia ngoma yake mpya inayoitwa KIBABE ni ngoma mbovu kupindukia,ni ya kawaida sana ,kama sio mpya na kama sio ya msanii mkubwa.hivi ni kwa nini hawa wasanii wa zamani wasiache tu muziki? Mbona wengi wao wanatoa ngoma mbofumbofu sana? Kwa nini hawataki kuamini kwamba muziki umewatupa mkono?mbona maproducer wakongwe wameacha kurekodi baada ya kuona zama zao zimekwisha?,