figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,689
- 55,662
Heshima kwenu Mkuu,
Msanii wa Bongo Fleva Ney wa Mitego, amesafirishwa kutoka Morogoro na kupelekwa Dar.
Ney wa Mitego alikamatwa jana na Polisi mjini Morogoro kwa sababu ya wimbo wa Wapo alioutoa hivi karibuni.
Hadi sasa kashafikishwa Dar es Salaam kituo cha kati. Hajadhaminiwa sababu amefikishwa usiku. Mwanasheria wake amesema watajitahidi kesho wampe Dhamana au watashinikiza apelekwe mahakamani.
Kwa leo analala kolokoloni.
Pole sana Ney.