mzushi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 3,094
- 4,252
Ney wa mitego naona sasa ameishiwa na kuamua kutafuta kiki kwa nguvu,hii nyimbo yake haina maadili kabisa,cover yake ni matusi tupu. Nadhani TCRA imefika wakati huyu jamaa afungiwe kwa muda ili akajipange kwanza maana kichwani mashairi yenye maadili yameshakwisha.