Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,083
Siamini kama Kamanda huyu kwa sasa amekuwa outdated. Siamini kama CHADEMA wamemsahau kiasi hiki. Siamini kama zile mbwembwe za awali zimeyeyuka kiasi hiki. Kuna siku niliwatahadhalisha kuwa siku zote mtu anayehama kwa hasira kuna siku akili yake itatulia na atajuta. Ninachokiona kwa sasa ni majuto ambayo Wema anayo kutokana na maamuzi ya pupa na jazba anayofanya.
Kiasi cha fedha alichoahidiwa mpaka sasa hajalipwa. Mama yake amegoma kuitangaza CHADEMA mpaka atakapopata chake. Ipo siku Wema na mama yake wataomba radhi na kuomba kurejea CCM. Nawashauri CCM msikubali kuwapokea tena