Kiki inazidi kukubali: Harmorapa kwenye 'front page' ya Nipashe

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,534
WhatsApp Image 2017-03-24 at 08.36.19.jpeg

Jamani Harmo yuuuuuuuuleee.... Huyu mtu kimzahamzaha anapata tu airtime. Sielewi hata ilikuwaje akawa hapo kwa muda huo lakini ndo anakiki mwenzenu.

Naona alienda kumsapoti Homeboy wa Mtwara. Wasanii hebu fuateni nyayo za Harmo!!
 
wabongo bana shikamooni
apo lingekua bomu akafariki ama kujeruhika,hakuna jina angeachwa itwwa,kiherehere sijui popoma,kibedemswede mara kimbele front yote yangekuwa yake,wengne wangesubutu kusema matatizo yalikua yanamuita kwa nguvu.
ila leo hii ni harmousainbolt
watu badala ya kumpa pole nape tumeishia kucheka kwa mbio za dogo

jina alilolitengeneza kwa sasa mi nahisi ni muda lianze kumlipa kwa maana hiyo afocus kwenye vitu vya kumuingizia mkwanja
 
Dah ila huyo alietoa silaha kiunoni amevaa kama vile kituko flani hivi!!! Tishet ya mtoto na jinsi mpauko kachomekea tumboni mayenu na kapero ya karume
 
Huyu dogo haitaji kutoa single hivi vibweka vyake na hizo song zake mbili tayari ameshamfikia Kiba.
 
View attachment 485964

Jamani Harmo yuuuuuuuuleee.... Huyu mtu kimzahamzaha anapata tu airtime. Sielewi hata ilikuwaje akawa hapo kwa muda huo lakini ndo anakiki mwenzenu.

Naona alienda kumsapoti Homeboy wa Mtwara. Wasanii hebu fuateni nyayo za Harmo!!
Kwa akili za wabongo, hata ubunge ataupata.
Rejea akina king'wendu, Steve Nyerer, Afande sele etc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom