Miss Tanzania alia kuporwa ushindi wa Miss Afrika na miss wa Mkenya

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Miss Tanzania amelalamika kuporwa ushindi wa Miss Afrika na miss wa Kenya baada ya mrembo wa Kenya kumjuibia makala yake ambayo ndio imempa ushindi.
Miss Tanzania Diana Edwardamedai wamefuatlia kwa wanaondaa Miss World na Miss Afrika lakini hajapata majibu
 
Katika mamiss ambao hawajapa support ya watanzania ni diana, nadhan sababu wengi hawajamkubali. Pole yake wakenya ni wajanja sana sidhan kama atapata haki yake!!
 
Honesty diana hakufaa kuwa miss Tanzania,alibebwa na kamati ndio maana hana support yoyote kutoka kwa watanzania na kamati yenyewe kabla ya shindano na baada ya shindano.

Inaonekana binti ana jeuri flan na kadharau,kule instagram alikua na majibu ya shombo alipokuwa mashindanoni miss world,hapendi ushauri.

Flaviana ni mweusi ila anajua nn kinaendana na mwili wake kwa mavazi,viatu,nywele hadi make up ila diana vituko tupu.

Hana vigezo vya kuwa miss Africa. Labda tu apewe ka haki ka kuwa ile ni document yake basi.
 
..ahahah.!Demu mbovu yule nadhani hata zawadi zile za miss Tanzania hajapewa bado maana hata haikua haki yake.
 
Miss TZ ya sasa imepoteza mvuto kabisa wala tatizo sio mshindi, Lundenga tangu sakata la miss bibi bomba hadhi ya shindano imeshuka na ndio sababu hata wadhamini hakuna zawadi tu zinamshinda sasa ataanzaje kupoteza muda kufuatilia malalamiko ya mshindi wetu wakati huyu mshindi anamdai zawadi? Diana kwa mtazamo wangu ni mzuri na makini kuliko hata Basila MWanukuzi lakini enzi zile haya mashindano yalikuwa juu ndio maana walikuwa wanasikia mno, sura ya basila huwezi kulinganisha na ya diana, Diana yuko bomba ila ndio hivyo huu si wakati tena wa kutamba kwa miss.. TZ.
 
Honesty diana hakufaa kuwa miss Tanzania,alibebwa na kamati ndio maana hana support yoyote kutoka kwa watanzania na kamati yenyewe kabla ya shindano na baada ya shindano.

Inaonekana binti ana jeuri flan na kadharau,kule instagram alikua na majibu ya shombo alipokuwa mashindanoni miss world,hapendi ushauri.

Flaviana ni mweusi ila anajua nn kinaendana na mwili wake kwa mavazi,viatu,nywele hadi make up ila diana vituko tupu.

Hana vigezo vya kuwa miss Africa. Labda tu apewe ka haki ka kuwa ile ni document yake basi.
Waswahili wanasema tatizo nyota yani binti yupo yupo mavazi machafu hajui kupangilia safari miss tumepeta.
Naona wafute tu hili shindano
 
Honesty diana hakufaa kuwa miss Tanzania,alibebwa na kamati ndio maana hana support yoyote kutoka kwa watanzania na kamati yenyewe kabla ya shindano na baada ya shindano.

Inaonekana binti ana jeuri flan na kadharau,kule instagram alikua na majibu ya shombo alipokuwa mashindanoni miss world,hapendi ushauri.

Flaviana ni mweusi ila anajua nn kinaendana na mwili wake kwa mavazi,viatu,nywele hadi make up ila diana vituko tupu.

Hana vigezo vya kuwa miss Africa. Labda tu apewe ka haki ka kuwa ile ni document yake basi.
Hashim Lundenga voice
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom