Muigizaji kutoka kiwanda cha bongo movie, jackline wolper ,kupitia ukurasa wake wa instagram, amewaomba radhi followers wake kwa kupost sana biashara hku akidai madeni yamekua mengi sana hivyo anakazana kutafuta pesa alipe..
Kamiss kuonekana kwenye magazeti ya udaku. Inadaiwa nchi sembuse wolper aone kitu cha ajabu kudaiwa.
Awa wasanii kiki ndo inawaweka mjini. Au anatafuta danga indirectly
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.