Nataka kufahamu

geraldincredible

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
2,036
7,220
Samahani wakuu,nataka kufahamu ni msanii gani wa bongo hip hop ana mafanikio ya kipesa..Lengo ni kujua kwamana upande wa wenzetu wa bongo fleva au kuimba imba msanii kama diamond anaonekana anakimbiza kimafanikio hasa upande wa mkwanja..

Nawasilisha pia nategemea positive na negative comments
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom