Imagine Aje remix ingekuwa ndio katoa Diamond, tusingekaaa

Ali Kiba mara ya mwisho kutoa wimbo ni mwezi wa tano mwaka jana, yaan ana karibia mwaka hajatoa wimbo, then kaja na remix ya uongooo.
Angekuwa diamond hapo ange kaangwa kama viazi,
Kuto kuwepo kwa MI kwenye video ndio kuliharibu, halafu video nayo ilikuwa mbaya kweli, all in all Menejiment ya Ali bado kuna vitu haija vijua kufanya.
 
Yaani hilo hawalioni
 
Hatutaki mazoea kabisa tupo Texas tunapiga show yadunia
 
Hii remix sijui hata ilipotelea wapi ndani ya siku moja tu ikapotea kwa mawimbi....na mwenye wimbo ndo anasifika kwa kutoa ngoma zenye long term life hii imekaaje mbona imepotea ghafla nn tatzo au kuna fitna zinafanyika
Aisee we demu unafikiria kila siku maisha ya Alikiba na Diamond hivi haunaga thread yoyote yenye kitu kipya zaidi ya hao wawili? halafu tunalalamika Maisha magumu wakati kuna watu kama wewe ukilala ukiamka ni Alikiba na Diamond kweli tuna safari ndefu kama taifa
 
Kilichokuleta apa ni nn kama unaona kitu hakikuhusu.....shut the https://jamii.app/JFUserGuide up
 
Lazima nikwambie ukweli akili yako imelala nataka nikuamshe maana hao watu wanapesa zao na maisha yao so na wewe pigana kutafuta maisha yako na mumeo
Hatupendi ujinga sisi badala ya kuleta thread yenye maana unatumalizia Mb zetu kwa post za Dai na Kiba sasa hapo tujifunze nini?
 
Katika vijana wasiojitambua kwenye jukwaa hili huyo dogo anaongoza!
 
Hatupendi ujinga sisi badala ya kuleta thread yenye maana unatumalizia Mb zetu kwa post za Dai na Kiba sasa hapo tujifunze nini?
Ndugu lakini yakupasa ufahamu ya kwamba umeingia jukwaa la watu maarufu, jukwaa ambalo nyuzi kama hizi ndio mahali pake.
Labda tu ungemshauri Siku moja moja awe anaposti au anafungua nyuzi zenye manufaa kwa taifa jukwaa la siasa, biashara, habari na hoja mchanganyiko au kilimo ujasiriamali na biashara.
Vinginevyo kwa kuzingatia mpangilio wa majukwaa kama jinsi jamiiforums ambavyo imeundwa, mtoa mada yuko sahihi kabisa na hapaswi kutolewa lugha kama hii ambayo umetoa.
 
nimekuelewa mkuu
 
Hii remix sijui hata ilipotelea wapi ndani ya siku moja tu ikapotea kwa mawimbi....na mwenye wimbo ndo anasifika kwa kutoa ngoma zenye long term life hii imekaaje mbona imepotea ghafla nn tatzo au kuna fitna zinafanyika
Sema hii remix yake nzuri sana hadi video naielewa sana
 
Lazima nikwambie ukweli akili yako imelala nataka nikuamshe maana hao watu wanapesa zao na maisha yao so na wewe pigana kutafuta maisha yako na mumeo
Unajua level ya maisha yng au unapayuka tu.....ukiona mada haikuhusu pita iv tusipangiane maisha hili ni jukwaa huru..!!!
 
Ali Kiba mara ya mwisho kutoa wimbo ni mwezi wa tano mwaka jana, yaan ana karibia mwaka hajatoa wimbo, then kaja na remix ya uongooo.
Angekuwa diamond hapo ange kaangwa kama viazi,
Kuto kuwepo kwa MI kwenye video ndio kuliharibu, halafu video nayo ilikuwa mbaya kweli, all in all Menejiment ya Ali bado kuna vitu haija vijua kufanya.
Kosa la alikiba anaborongatu
Kwenye video cjui na yy anakua haon ama nn
 
Video ipo hewani kwa zaidi ya mwezi sasa lakini hata Views 1M haijafika!! Hiyo VEVO akaunti yake hadi sasa hata subscribers 10K bado hajafika!!!

Wakati Diamond alivyoanza kutumia akaunti ya Vevo wakaanza kupiga vigelegele hapa kwamba janja janja ya kununua views hakuna tena lakini wakati mwenzao hivi sasa ana views zaidi ya 6 Million wao ndo kwanza wanatafuat 1M na subscribers zaidi ya 40K wakati walitofautiana wiki 2 tu!!!

Sasa huyu mkali kuliko wote ambae statistics zote zinamkataa sijui ni mkali wa aina gani!!!!!
 
Back
Top Bottom