Msanii Gigy money balaa lake la kukata mauno EATV ni hatari sana, queen mwenye confidence ya ajabu anasifika zaidi kwa kuvaa mavazi yenye utata na muonekano wa ukweli haya kwa wasanii wenzake.
Big...
Amesema vyombo vya band yake vya awali alivinunua kwa shilingi milioni 18 lakini kwa sasa hana uwezo. Hivyo anamuomba mtu yeyote mwenye mapenzi mema ikiwemo serikali waweze kumsaidia.
Amesema...
leo kulikuwa na fainali ya sport pesa cup na mechi ya utangulizi ilikuwa kati ya bongo fleva na bongo movie
Duh mbona wabongo hata hawaiongelei kabisa? nini shida ya kuwachoka hawa jamaa???maana...
Ameshasemwa sana kwa ubaya ameshaandikwa sana kwa ubaya ameshakuwa na kashfa nyingi...ni wakati sasa wa kumwangalia kwa jicho la tatu.
Hatuwezi kumweka kwenye kundi la malaika wa kifo kwakuwa...
Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize amedai anaomba Mungu kila kukicha mpenzi mpya mzungu ajifungue mtoto mwenye rangi nyeupe kama mama yake.
Muimbaji huyo hivi karibuni aliweka wazi ishu za...
Msanii kutoka 'Green City' akiwakilisha kundi la The Amaizing, Izzo Bizness amedai hawezi kulala njaa kusubiri simu za promota kwa ajili ya show kwani kipaji anacho ndio maana anajiongeza zaidi...
Tarehe SIKU kama KESHO 12th june miaka takribani hamsini na minne iliyopita dunia ilipata bahati ya kupokea mwili na roho hai ya mtumishi wa mungu KULE nchi moja ya Afrika magharibi
ENDELEA...
Upigaji kura ushaanza rasmi Tuzo za BETAWARDA-2017.
Mpigie kura Rayvanny kama "International Viewer's Choice Awards' 2017.
JINSI YA KUPIGA KURA KWA MSHIRIKI.
Kazi ni moja tu unapost picha ya...
Huyu jamaa naona keshashindikana....hizi mbio nilijua atachemka alianza vibaya sana lakini hapo kati kawakata wenzake kama walikua wamesimama. HATARI SANA.
Baada ya msiba zari ameonekana akipost yupo kwenye mjengo wao wa SA na familia yake yote, Mungu awape nguvu machungu ya msiba yapite aanze kupambana kuijenga familia yake.
diamond safi sana kwa...
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwana hiphop tajiri duniani. Mc mwenye package iliyokamilika ya hiphop.
Huyu ni mmoja kati ya wasanii wa hiphop waliofanya niipende sana hiphop na muziki wa rap kwa...
Kwa muda mrefu kumekua na mijadala ikiendelea mitaaani, watu wengi wakilinganisha magwiji wawili wa musik wa bongo flava, kila mtu amekua na lake la kusema. ukweli ni kwamba nimefanya tafiti...
Habari wakuu,
Tangu huu wimbo umetoka umekua ukipata airtime ya kuvente na ni ngoma ambayo ni nzuri kwa kuisikiliza. What caught my attention ni pale mwishoni mavoko anapoimba 'wanangu wa panya...
Zile kiki za Hamorapa zimepotea
Ule umaarufu uliokuwa unakuja kwa kasi umekufa kifo cha mende
Muda si mrefu atarudi kwenye kazi yake ya kuzungusha urembo mitaani
Niaje watu wa ukweli wapenda music uwe wa rap au rnb au music wowote ule
Huyu jamaa sasa kaamua kuja kwa namna tofaut na ile ya mwanzo na aina hii ya mziki inahatalisha sana soko la yule jamaa...
Label ya sony imekuwa ikilalamikiwa jinsi inavyotreat wasanii mbalimbali wanaotokea Africa, pia imekuwa ikihusishwa na uuaji wa vipaji vingi barani hapa
Baada ya mwaka jana, Msanii Davido...
Ni vigumu msanii aliyepotea kwenye game kurejea kwa kishindo kile kile. Hii ipo ata kwenye msemo wa kiingeereza – “Golden Chance Never Comes Twice,” – yaani bahati haijirudii mara mbili.
Hata...
Kwa story za kunyapia nyapia zinadai kuwa harmonize na wolper gambe washabwagana na kila mtu kachukua 50 zake na kwa ubuyu unaosambaa mjini unadai kuwa Dogo kapata mtt mkaliii wa kitaliano...