ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
leo kulikuwa na fainali ya sport pesa cup na mechi ya utangulizi ilikuwa kati ya bongo fleva na bongo movie
Duh mbona wabongo hata hawaiongelei kabisa? nini shida ya kuwachoka hawa jamaa???maana zamamni kama miaka 4 iliyopita mechi zao zilikuwa na mvuto bana