GIGY MONEY akikatika mauno Eatv, kweli huyu ni Hatari, afunika Bongo movie na Video queens wote.

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,000
Msanii Gigy money balaa lake la kukata mauno EATV ni hatari sana, queen mwenye confidence ya ajabu anasifika zaidi kwa kuvaa mavazi yenye utata na muonekano wa ukweli haya kwa wasanii wenzake.
Big up Gigy money endelea kufanya kweli.
 
God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,821
2,000
Kwa umarufu alionao akigombea ubunge 2020 anaweza Kupata
Kwa hii comment ni dhahiri watanzania ni malimbukeni wa umaarufu.

Mtu hachaguliwi kwa umaarufu au mapenzi/love binafi na mtu bali anachaguliwa kama anaiweza shughuli husika.
Kwa namna hii bongo tutaendelea na mawazo mgando kama haya kwa zaid ya miaka 300
 
Handsome man

JF-Expert Member
May 6, 2017
895
1,000
Kwa hii comment ni dhahiri watanzania ni malimbukeni wa umaarufu.

Mtu hachaguliwi kwa umaarufu au mapenzi/love binafi na mtu bali anachaguliwa kama anaiweza shughuli husika.
Kwa namna hii bongo tutaendelea na mawazo mgando kama haya kwa zaid ya miaka 300
Kwa nchi yetu mtu anachaguliwa kwa umarufu wake na cio Cv yake labda awe mzee,
Kama huamini na ki elimu chako uwekwe sehemu na lady jaydee mugombee utaona nani atapita refer mbeya mikumi na kwingine
Usijifanye una uchungu wa kuzaa hapa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom