Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hizi team mbili kwa namna moja au nyingine zinachangia kurudisha mziki wetu nyuma leo hii wasanii wanajisahau kufanya kazi na kutegemea hizi team ziwabebe matokeo yake tunaona kwenye tuzo za...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya Alikiba kushindwa kupata shangwe iliyotarajiwa kutoka kwa mashabiki huku jina la mpinzani wake diamond likitawala japokuwa hakuwepo kwenye tamasha hilo. Diva mtangazaji na shabiki mkubwa...
5 Reactions
37 Replies
9K Views
Hata uwe na kipaji kikubwa kiasi gani kama huna juhudi na nidhamu ya kazi inayoshahabiana na kipaji chako believe me, sahau kutokaaa. Huwa najaribu kumfikiria Mark Zuckerberg, Michael Jordan, the...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba anaewajua kwa majina yao halisi,wanapoishi au viwanja vyao waigizaji hawa wawili wa tamthilia inayoonyeshwa na EATV ya siri za familia "Brenda na Kelly" muhimu kuliko yote nataka contacts...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baba la baba diamond platnumz chibu dangote simba kaza mdogo wangu huyu kijana rayyvann anakuja kwa kasi sana Ingawa ni kitu kizuri kuona kijana anazidi kufanikiwa tena isitoshe yupo katika lebel...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari wakuu! Kutokana na uzito wa tuzo hizi za MTV Europe Music Awards, ambapo Alikiba ni mtanzania pekee anayewakilisha Tanzania na East Africa kwenye mtanange huo. Hapa nimeamua kuleta hii...
1 Reactions
102 Replies
10K Views
Hivi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa Wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na Diamond. Ila...
11 Reactions
1K Replies
71K Views
Kuna kipindi kinaitwa the clip . yani kinakera sana hususani comedian mliyemuweka sio mbunifu hata kidogo anachukua viclip vya wakenya na kuviongelea ongelea hajawahi nisisimua hata kidogo Kwa...
19 Reactions
124 Replies
9K Views
Umaarufu kunuka.Kipindi mile wakati huyu binti anasakamwa sana nilikuwa naamini anaonewa tu,pengine wivu. Nimepata dakika 2 za kumfuatilia aisee huyu binti ni mchafu hafai hata kwa mkopo.Ana...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wakuu Clouds ni moja ya kituo cha tv kinachopendwa na watu hususani vijana kwa muda mrefu sana imekuwa na mpangilio usioeleweka hususani vipindi vya live(mubashara) wakitangaza itaanza...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimekuja kugundua Shilole ni msanii wa muziki wa kike mwenye wafuasi wengi TZ. Vanessa haoni ndani kwa Shishi.Niliposikia mvurugano wao ikabidi nifuatilie nikagundua Shishi anawafuasi wengi ndani...
2 Reactions
68 Replies
8K Views
TEKNO AONYESHA UPENDO KWA WADADA TANZANIA. (LULU, GIGY MONEY NA HAMISA MOBETO) Tekno Vepee!
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Bifu ni kubwa mno, na linachochewa sana na mashabiki wa Ali kiba, nafikiri jinsi ya kumaliza bifu hili kwa kutengeneza collabo kati ya kiba na Dmond , lakini ali kiba hataki mana anajua bifu hili...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa kuonesha hana kinyongo na ex bf wake Wema Sepetu amesema kuwa atapigana kufa na kupona mpaka pale hali ya baba yake Diamond itakapo tengemaa.
9 Reactions
198 Replies
24K Views
Sijui kwanini wanamuziki wa kibongo inapokuja ku perform live ukiondoa christian bella wengi wanaimba tofauti na nyimbo zao tunazoziona kwenye luninga na redioni. Pumzi na key zinapotea sijui...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Licha ya Singeli kuwa muziki ulioibuka kwa kasi na kujizolea mashabiki lukuki na kufanikiwa kuzalisha vipaji kadhaa mwanamuziki Mkongwe Juma Kasim Nature ameibuka na kusema muziki huo ni wa kihuni...
14 Reactions
113 Replies
14K Views
muonekano wake wapagawisha,laiti kama angekuwa nominated lazima tuzo zingerudi kwani ana masong makali na sauti tamu mno haswa akipafomu kwa cd kama bwana simba karoli hapa katupia picha ila...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Picha aliyoweka Faiza Ally Instagram ya Mhe. Joseph Mbilinyi ‘Sugu' akiwa katika pozi na mwanaye Sasha. MSANII wa filamu Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph...
0 Reactions
26 Replies
12K Views
Leo wakiwa mawenzi sekondari iliyopo Moshi mjini shetta amekutana na msichana ambae anadai kuwa wanafanana na kupanda stejini na kumkumbatia shetta Baada ya kitendo kile shetta alifurahishwa na...
3 Reactions
21 Replies
7K Views
Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford amemmwagia sifa Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego kuwa hakuwahi kujua kama ni mkarimu huku akidai kuwa anafaa kuwa mume! Shamsa ambaye aliachana na mume wake...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Back
Top Bottom