ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,994
- 3,946
Bifu ni kubwa mno, na linachochewa sana na mashabiki wa Ali kiba, nafikiri jinsi ya kumaliza bifu hili kwa kutengeneza collabo kati ya kiba na Dmond , lakini ali kiba hataki mana anajua bifu hili ndo linamweka juu. Diamond anajulikana na kukubalika na wetu wengi kushnda kiba, mpaka hata bungeni amekuwa akitajwa tajwa mara kwa mara, miziki na sanaa yake imekua ikitumika UDSM katika kufundishia wanazuoni.
Cc washabiki wa kiba na diamond tuwaombe wafanye collable ili wamalize bifu. Ni vitu vya ajabu watu kukasirika eti kwa kuwa tecnomiles kamkubali Dmond, ni kweli anakubalika kwanini hamtaki.
Kingine Dmond ni mlipa kodi, juzi amelipa mil 256 TRA, ametoa madawati ya mil 48, huu uzalendo hatuoni kwa king kiba.