Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

ubarinolutu

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,964
3,895
Hivi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, sasa hyo dharau mnaiona mashabiki wa Wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na Diamond.

Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia Wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake Diamond.

Ila tu nisisitize; Jokate, Wema na Mange, nyie na washabiki wenu mpigien Davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie Diamond bila sababu. Sisi watanzania wengine tutampigia kura.

Na naona Vanesa nae ashaanza kuingia team Wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha Diamond, badilika dada.

Vote for Diamond ana Vanesa, MTV Awards.
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampigia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.
 
Muache kusingizia kuwa timu Diamond inatukana humu jamani, mbona mie sijawahi kuona maneno hayo machafu.

Bali labda lisemwe ukweli wa facts zao ndio matusi.

Napita
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

hahahaaaa mamaaa nifah!
 
Do u take JF SERIOUS... Huh!!

Maajabu.
 
Hvi watanzania mna masaibu gani. Kuna watu wanadai diamond ana dharau, xaxa hyo dharau mnaiona mashabiki wa wema tu. Nimepita pita kitaa kuuliza watu na wanasema hawana tatizo na diamond.

Ila nimekuja kujua kumbe chanzo cha chuki ni mimba ya zari na kuachana na wema. Washabiki wa wema hawajakubali hali ya wema kutokuwa na raisi wa wasafi, pia wema nae bado ana kisasi, na ndo mana anaendesha kampeni ya kumpigia kura Davido na sio mtanzania mwenzake diamond.

Ila tu nisisitize, jokate, wema, na mange, nyie na washabiki wenu mpigien davido wenu, ila msitake kufanya watanzania wengine wamchukie diamond bila sababu. Cc watanzania wengine tutampigia kura.

Na naona vanesa nae ashaanza kuingia team wema, mana anajipigia promo yeye mwenyewe na kumuacha diamond, badilika dada.

Vote for diamond ana Vanesa, MTv awards

Acha kutafuta visingizio vusivyo na sababu, kubalini matokea
 
Ni upuuzi kipindi cha kura kuja kutulilia tumpigie kura dai in the name of the so called uzalendo, alafu mkibeba tuzo mnarudi kututukana, huo upuuzi hatutaki tena uje kujirudia.

Vote for Davido. OVER

Eti jamani, wanadhani tumesahau? Walitamba kwelikweli, laiti kama wangetumia ustaarabu wallah ningewapa kura yangu, ila hakuna jinsi tena.
Acha walie tu.
 
Ivi ni kweli Wema ana nguvu hizi za kuwaambia wa-Tz wasimpigie kura Diamond na kweli ikamfanya Diamond ashindwe nitakua mtu wa mwisho kuamini.

Hata mimi nashangaa, chukulia mfano sisi mashabiki wa Kiba tuliopo humu tumeshawishiwa na wema kumpigia kura Davido?
Tena mimi nataka Wizkid ashinde na sio huyo Davido wanayesema.
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

Vote for Davido, Diamond haitaji kura yako wewe na washamba wenzio. Wasisitize na washamba wenzio wampigie kura Davido kwa wengi Diamond haitaji kura zenu.
 
Na bado.Sio huyu diamond tu, tatizo lipo kwa mashabiki wake pia.Juzi hapo baada ya taarifa kutoka kuwa kapata nominations huko tulitukanwa na kukashifiwa sana humu JF, sasa nimpigie kura ili ashinde halafu nitukanwe zaidi?
No way, nitampia ninayemtaka maana device na bundle vyote ni vyangu na hakuna wa kunipangia.

Umeandika yote kabisa hujabakiza kitu. Badala ya kuomba wapigiwe kura wanaanza kulaumu Watanzania na kuwabatiza majina yote ya chuki na dharau Mara sijui wakoje?
Hawa mashabiki ndo vimbele front kumtetea ujinga wowote kwa dharau na kebehi ndo wanazidi kumharibia kabisa. Tangia mwanzo walidharau tuzo za ndani eti wako international.
After all hawawezi kumpangia watu wa kumpigia kura. Watanzania wapige kwa kuamua bila kufosiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom