Shishi baby atikisa ndani ya MTV Mama 2016

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,010
muonekano wake wapagawisha,laiti kama angekuwa nominated lazima tuzo zingerudi kwani ana masong makali na sauti tamu mno haswa akipafomu kwa cd kama bwana simba karoli
hapa katupia picha ila kaongeza swag kidooogooo kwamba ni mtv adrica,yup its yooo boooy shishi
CaptureWWWWWW.JPG
 
hahhahaaaaaaaaa......kweli yule mwalim wake anakaz kweli kweli......hahahahaaaaa
 
nyinyi mnaomponda shishi..
shishi kawazidi hela bank

shishi nampenda hajikwezi..
independent woman....
mengine atajijua mwenyewe...

nampenda Zuwena

say ma nem say ma nem...
Yani wewe uko kama mimi nampenda huyu dada kwa mambo kadhaa.Kwanza hamtegemei mwanaume ili kupata pesa japo analizimisha mziki hadi watu wameanza kumuelewa,pili haogopi kujaribu ndo mana kafika hapo alipo.
Tofauti na sisi wadada tunaojiita wasomi wakati hatuna guts za kufanya mambo afu bado tunadanga pesa kwa wanaume.
The rest namuachia mwenyewe.
 
Ni kweli ni mwanamke mwenye GUTS, wamemsema na kumcheka kwa kutojua kingereza sawa sawa ,lakini hajali kabisa, ndo kwanza anaendelea kukizungumza na kujaribu kujiendeleza
 
Njooni Kijitonyama Alimaua mtamuona,
 
Back
Top Bottom